Hivi nyie utopolo hamna kikosi cha pili?

Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
mashabiki wa Simba jana mlichukia kuona ule mziki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hapa kwenye kibanda umiza huwezi amini mashabiki wa KOLO FC km watano walitoka wamekasirika huku wanatukana kabla ya mchezo kuanza baada ya kuona mziki wote upo ndani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mji mgumu sana huu POLENU

kwanza tangia lini tumeanza kupangiana kikosi nyie ma[emoji1664][emoji1664][emoji1664]
 
Dah! Nchi hii ni ngumu Sana .Unatumia baruti na mabomu kumlipua Nzi !!!
 
Sawa mikia,ksbb hamlali mkapata usingizi,mnaiota YANGA tu,tumesikia kilio chenu,tutapanga kikosi kadiri mnavyotaka nyie mikia huko mwishoni
 
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
....Kwani mnawashwa nini tukipanga full mziki? Mnatusaidia kulipa mishahara wachezaji?
 
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno. Kwanza yale sio mashindano kwa akili ya majaribio bali ni mashindano na ni mtoano. Kosa walilofanya simba dhidi ya Green woriors na mashujaa ilitaka ijirudie tena juzi dhidi ya JKT Tanzania. Bila ile mistake ya yule beki, ngoma ingeenda kwenye mikwaju ya penati.

La pili ni kwamba kocha kaamua kuitumia mechi ya Ihefu kama sehemu ya mazoezi ya kuwapa wachezaji wake match fitness kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons. Ikumbukwe tu kuwa Yanga kabla ya kucheza na Simba, walikaa takribani siku kumi pasipo kucheza mechi yeyote ile hivyo walikosa match fitness na ndio maana kocha kaona ni bora atumie mechi ya Ihefu kama sehemu ya mazoezi ya kikosi chake kuelekea mechi ya ligi kuu.
 
Kumbe ASFC timu zinatakiwa kuchezesha vikosi vya pili?? Sasa Prince Dube na Mbombo jana walikua wanatafuta nini kwenye kikosi cha Azam??
 
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.
Acha kukariri ujinga
 
Upuuzi mtupu,Ya ngoswe muachie ngoswe. Hivi ukuwaona Mauya,Boxer,Mukoko,Ninja,Makambo,Yasini Mustapha n.k ,Mtakoma mwaka huu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…