mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga? Wapeni nafasi wachezaji wote waonyeshe vipaji vyao.