Bila shaka ni Mbao za Mawe maana yule jamaa karibu kila post yeye ni wa kwanza ku-coment
Hivi zamani ni kuanzia lini Dada?Wanakuja mkuu
lara 1 = Money PennyNaomba kuwajulia hali zenu wadada wote wazamani hapa JF ukweli nimewamiss nashindwa kuwataja majina maana yule nitakayeanza naye wenzake wataanza kusema imekuwaje ujaanza jina langu??
Kwa nia njema najua wahenga tunajuana!Ila niombe ifanyike zing zong moja hata kijiwe kimoja tukumbushie raha za zamani ila hili nitaongea na Mtambuzi lara 1 madam boss Mayasa na yule mtoto wa basidei Mentor nakumbuka mdada mmoja Paloma na wengine wengi tujuliane hali au mnasemaje tuwajue na wapya Asprin unasemaje kuhusu hili au Jiwe Linaloishi nakumbuka haya makitu yalikuwaga poa sana!
Nahishia hapa.
Teh teh mkuu nimelipenda swali lako maana mada haiku-specify mwaka.Hivi zamani ni kuanzia lini Dada?
Yawezekana na mie nikawemo. ππππ πππππ
Hivi zamani ni kuanzia lini Dada?
Yawezekana na mie nikawemo. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Ahsante.Teh teh mkuu nimelipenda swali lako maana mada haiku-specify mwaka.
Hahaaaa. Nimejitahidi kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23] bora mmekuja dada na wewe ni wa zamani ujue
Safi dada akee za kwako hahaha yaani acha nikupe hongera kipindi ww ndio umeingia sisi tunajisomea tu kama guestHahaaaa. Nimejitahidi kwa kweli.
Vp lakini habari ya ijumaa?
so real nyuma ya fake id ππππJf ya enzi hizo ilikuwa tamu kama sukari guru. Members walikuwa so real.
Za kwangu Alhamdullilah. Ahsante Dada mngekujaga jamaani.Safi dada akee za kwako hahaha yaani acha nikupe hongera kipindi ww ndio umeingia sisi tunajisomea tu kama guest
so real nyuma ya fake id [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa kila nikijirejister inagoma nikijaribu inagoma nikaachana nayo tu siku ya siku ndio ikakubaliZa kwangu Alhamdullilah. Ahsante Dada mngekujaga jamaani.
Haya uwe na Mchana mwema Dada.
Duuh. Pole sana. Mie nakumbuka haikunisumbua na nilijiunga kama masikhara. ππNilikuwa kila nikijirejister inagoma nikijaribu inagoma nikaachana nayo tu siku ya siku ndio ikakubali
Asante dada akee na kwako pia [emoji120][emoji8]
Duuh. Pole sana. Mie nakumbuka haikunisumbua na nilijiunga kama masikhara. [emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
Samahani mkuu. Sitarudia tenaHahahah mambo gan ya kutoa siri
Duuh! Kweli ulipata tabu dada.Yaan mm dada akee nilipata tabu jamani sijui shida nilikuwa nn kama mara 5 hivi inagoma nikasusa kabisa kama miaka miwili najisomea tu kama guest
Mwisho wa siku mwaka juzi nikasema ebu ngoja leo nijaribu naona i'd uliyoweka inatumika nikasema naona matumaini mazuri sasa nikaweka i'd kama mbili hivi zikanigomea nikakumbuka shunie jina la best friend wangu kitu na box nikasema mbona jf imenitesa hivi jamani