Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Naomba kuwajulia hali zenu wadada wote wazamani hapa JF ukweli nimewamiss nashindwa kuwataja majina maana yule nitakayeanza naye wenzake wataanza kusema imekuwaje ujaanza jina langu??
Kwa nia njema najua wahenga tunajuana!Ila niombe ifanyike zing zong moja hata kijiwe kimoja tukumbushie raha za zamani ila hili nitaongea na Mtambuzi lara 1 madam boss Mayasa na yule mtoto wa basidei Mentor nakumbuka mdada mmoja Paloma na wengine wengi tujuliane hali au mnasemaje tuwajue na wapya Asprin unasemaje kuhusu hili au Jiwe Linaloishi nakumbuka haya makitu yalikuwaga poa sana!
Nahishia hapa.
lara 1 = Money Penny
 
Nilikuwa kila nikijirejister inagoma nikijaribu inagoma nikaachana nayo tu siku ya siku ndio ikakubali

Asante dada akee na kwako pia [emoji120][emoji8]
Duuh. Pole sana. Mie nakumbuka haikunisumbua na nilijiunga kama masikhara. 😂😂

🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😍😍😍
 
Yaan mm dada akee nilipata tabu jamani sijui shida nilikuwa nn kama mara 5 hivi inagoma nikasusa kabisa kama miaka miwili najisomea tu kama guest

Mwisho wa siku mwaka juzi nikasema ebu ngoja leo nijaribu naona i'd uliyoweka inatumika nikasema naona matumaini mazuri sasa nikaweka i'd kama mbili hivi zikanigomea nikakumbuka shunie jina la best friend wangu kitu na box nikasema mbona jf imenitesa hivi jamani
Duuh. Pole sana. Mie nakumbuka haikunisumbua na nilijiunga kama masikhara. [emoji23][emoji23]

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Yaan mm dada akee nilipata tabu jamani sijui shida nilikuwa nn kama mara 5 hivi inagoma nikasusa kabisa kama miaka miwili najisomea tu kama guest

Mwisho wa siku mwaka juzi nikasema ebu ngoja leo nijaribu naona i'd uliyoweka inatumika nikasema naona matumaini mazuri sasa nikaweka i'd kama mbili hivi zikanigomea nikakumbuka shunie jina la best friend wangu kitu na box nikasema mbona jf imenitesa hivi jamani
Duuh! Kweli ulipata tabu dada.

Ila ndio hivyo kila jambo huwa lina wakati wake.
 
Back
Top Bottom