Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Hahhahaha umeona eenh yaani kuumwa weekend ni shida halafu simu zinaingiaje sasa za kwenda sehemu kupata moja moto moja baridi huku una madawa yako


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unaumwa nn

Hapana mkuu, nilikiwa nakemea sa ndo namalizia nakutana na comment yako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa unakemea pepo la beer

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana hii convo yenu
 
[emoji23][emoji23] Shikamoo gambe apa nimeitamani ka heineken kangu kabaridiiii kanafuka moshi

kanafuka moshi huku kanatililika jasho πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu muhudumu anachelewa kufungua unataman kumwambia kama vipi nipe hyo opener nifungue mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mdada wa sasa hapanihusu hapa
 
Ungentafuta mimi nkusaidie...

 
Maisha yanaenda kasi, Majukumu chungu tele tunachungulia kwa mbali.
 
CC: FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…