Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Hivi nyie wadada wa JF wazamani mpo kweli? Nimewamiss sana hata Leo tupo hapa irudi tu hamna namna

Hahhahaha umeona eenh yaani kuumwa weekend ni shida halafu simu zinaingiaje sasa za kwenda sehemu kupata moja moto moja baridi huku una madawa yako


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unaumwa nn

Hapana mkuu, nilikiwa nakemea sa ndo namalizia nakutana na comment yako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa unakemea pepo la beer

😂😂😂😂 nimecheka sana hii convo yenu
 
[emoji23][emoji23] Shikamoo gambe apa nimeitamani ka heineken kangu kabaridiiii kanafuka moshi

kanafuka moshi huku kanatililika jasho 😂😂 alafu muhudumu anachelewa kufungua unataman kumwambia kama vipi nipe hyo opener nifungue mwenyewe 😂😂
 
Ungentafuta mimi nkusaidie...

....nilipata tabu jamani sijui shida nilikuwa nn kama mara 5 hivi inagoma nikasusa kabisa kama miaka miwili najisomea tu kama guest

Mwisho wa siku mwaka juzi nikasema ebu ngoja leo nijaribu naona i'd uliyoweka inatumika nikasema naona matumaini mazuri sasa nikaweka i'd kama mbili hivi zikanigomea nikakumbuka shunie jina la best friend wangu kitu na box nikasema mbona jf imenitesa hivi jamani
 
Maisha yanaenda kasi, Majukumu chungu tele tunachungulia kwa mbali.
 
Naomba kuwajulia hali zenu wadada wote wazamani hapa JF ukweli nimewamiss nashindwa kuwataja majina maana yule nitakayeanza naye wenzake wataanza kusema imekuwaje ujaanza jina langu??
Kwa nia njema najua wahenga tunajuana!Ila niombe ifanyike zing zong moja hata kijiwe kimoja tukumbushie raha za zamani ila hili nitaongea na Mtambuzi lara 1 madam boss Mayasa na yule mtoto wa basidei Mentor nakumbuka mdada mmoja Paloma na wengine wengi tujuliane hali au mnasemaje tuwajue na wapya Asprin unasemaje kuhusu hili au Jiwe Linaloishi nakumbuka haya makitu yalikuwaga poa sana!
Nahishia hapa.
CC: FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom