KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Naomba kuwajulia hali zenu wadada wote wazamani hapa JF ukweli nimewamiss nashindwa kuwataja majina maana yule nitakayeanza naye wenzake wataanza kusema imekuwaje ujaanza jina langu??
Kwa nia njema najua wahenga tunajuana!Ila niombe ifanyike zing zong moja hata kijiwe kimoja tukumbushie raha za zamani ila hili nitaongea na Mtambuzi lara 1 madam boss Mayasa na yule mtoto wa basidei Mentor nakumbuka mdada mmoja Paloma na wengine wengi tujuliane hali au mnasemaje tuwajue na wapya Asprin unasemaje kuhusu hili au Jiwe Linaloishi nakumbuka haya makitu yalikuwaga poa sana!
Nahishia hapa.