Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
๐๐๐๐ marahabaaaShikamoo jamani jimmi akee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ marahabaaaShikamoo jamani jimmi akee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marahabaaa
Duuh! Kweli ulipata tabu dada.
Ila ndio hivyo kila jambo huwa lina wakati wake.
๐๐ vizur kama umecheka maana umeongeza siku za kuishi ๐๐...[emoji23][emoji23] Jamani umenifanya mpaka na mm nimecheka ujue uko poa lakini mbebe wangu wa insta
[emoji23][emoji23] vizur kama umecheka maana umeongeza siku za kuishi [emoji23][emoji23]...
niko poa kabisa insta bebe sijui ww
mefurahi kusikia uko poa..... maana me huwa naona hakuna siku muhimu kuwa poa kama weekends ๐๐... ukiumwa weekend unaweza ukajikuta unapitwa na mambo mengi sana kuliko ukiumwa weekdays[emoji23][emoji23][emoji23] Insta bebe wangu mm niko poa sana yaani sana
mefurahi kusikia uko poa..... maana me huwa naona hakuna siku muhimu kuwa poa kama weekends [emoji23][emoji23]... ukiumwa weekend unaweza ukajikuta unapitwa na mambo mengi sana kuliko ukiumwa weekdays
Ameen.Hahhahaha umeona eenh yaani kuumwa weekend ni shida halafu simu zinaingiaje sasa za kwenda sehemu kupata moja moto moja baridi huku una madawa yako
hahah.. me ikitokeaga hivyo huwa nazima simu kabisa sitakagi shida ya kujiumiza roho ๐๐๐๐ au yakuanza kuuliza hivi dawa fulan ukinywa baada ya masaa mangapi unaweza kupiga vyombo ๐๐๐Hahhahaha umeona eenh yaani kuumwa weekend ni shida halafu simu zinaingiaje sasa za kwenda sehemu kupata moja moto moja baridi huku una madawa yako
Ameen.
hahah.. me ikitokeaga hivyo huwa nazima simu kabisa sitakagi shida ya kujiumiza roho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au yakuanza kuuliza hivi dawa fulan ukinywa baada ya masaa mangapi unaweza kupiga vyombo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, nilikiwa nakemea sa ndo namalizia nakutana na comment yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unaumwa nn
Hahaha kama hii ni kweli basi hizi ID zina nguvu sana... Huwezi amini nilimpenda sana Miss Chaga ila huyu Demiss alikuwa ananichefua mno ni vile tu sikutakaga kuingia kwenye anga zake.... Kipi nilikipenda kwa Miss Chaga, kipi kiliniboa kwa Demiss hata sijuiHahahah mambo gan ya kutoa siri
Hapana mkuu, nilikiwa nakemea sa ndo namalizia nakutana na comment yako
๐๐๐๐๐๐....[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani wewe ni mimi kabisa kuna rafiki yangu anapata shida nikiwa kwenye dozi kumsumbua hivi namaliza leo kesho naweza kunywa au inakuwaje
Ndio mkuu, vyuma vimekaza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ulikuwa unakemea pepo la beer