Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo?
Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
Unakuwa huna njaa wewe
 
Kwa hyo unajua wanawake uwa hawanyi?.
Sasa ukioa itakuwaje?
Huo ndo uzima kama anakula lazma anye
 
Ukisikia uhaini huo ndio wenyewe sasa. Uende kukata gogo halafu uje kwenye mechi? Mechi inaahirishwa until further notice huku kesi yenyewe ikiunguruma Kisutu.
 
Yani asubuhi yote hii badala ya kuwaza kazi unawaza mambo ya kunya na kufanya mapenzi .

Inasikitisha kuona kwamba hawa ndio watu anaowapambania Tundu Lisu mpaka maisha yake kuwa mashakani .
Wewe cheza segerea la Nchimbi, mambo yetu tuwachie wenyewe
 
Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo?
Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
Vp akikata gogo muda mfupi kabla hajakutana na ww?
 
Kinyaa cha nini sasa wakati ameshajisafisha? That's what we call proper preparation for the big game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…