Hivi nyie watu, nini kinawafanya Mpende Pizza? sitaki hata kusikia

umesahau urojo
 
sea food pizza....si nikaweka oda mwanangu....baada ya kuletewa nilitamani nimkabe muhudumu nchukue mpunga wangu...
 
Mhhhh! Hongera zako kwa kucheza mbali na junk food. Mie hivi vyakula hata ile hamu ya kusema leo natamani junk food sijui pizza na uchafu gani mwingine sina.

Vyakula vyetu vya kibongo bomba sana.
Yapp
 
Mhhhh! Hongera zako kwa kucheza mbali na junk food. Mie hivi vyakula hata ile hamu ya kusema leo natamani junk food sijui pizza na uchafu gani mwingine sina.

Vyakula vyetu vya kibongo bomba sana.
Juzi nmekula boonge la pizza hadi nikabeba take away, asubuhi nikala kiporo, leo tena eti natamani pizza..... Niazime elf 15 hapo
 
Mimi napenda kiburu , Mlaso, kitawa ,ngararimu ,mafido, nduu, mashimbia ,ipakado ,
 
You must be good kwenye majambo fulani fulani, Type of food you eat says it all.
 
Unapenda burger af unamshangaa anaependa pizza..smh..ni vyakula jamii moja,. perhaps hukupata mpishi mzuri,try Saverio Mikocheni na Boogie Woogie Mbezi Beach...Pizza Hut sikushauri bei kuubwa af pizza mbaya
Doh ntaenda huko Saverio na Boogie Woogie nijaribu nione

Nilikula za Pizzahut siku moja siwezi kirudia tena, n mbayaaaaaa
 
Mkikosa choo mnahangaika kwa Mzizi Mkavu kwa sababu ya ma junk food
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenikumbusha mbali kuna siku nilikula tena kipande kidogo tu.... We balaa lake sasa nilikaa week nzima sijashuha mzigo..
Kilichofuata Itv...... Hosp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…