Hivi Ommy Dimpoz yeye anafanya kazi gani hadi adhihaki wenzake?

Hivi Ommy Dimpoz yeye anafanya kazi gani hadi adhihaki wenzake?

Status
Not open for further replies.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo! Hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki.

Labda mnaemfahamu huyo jamaa, mtusaidie kutuambia ana mishe gani hapa mjini mpaka adhihaki wenzie?
 
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa,na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini,maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo?hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki.
Labda mnaemfahamu huyo jamaa,mtusaidie kutuambia ana mishe gani hapa mjini mpaka adhihaki wenzie?
Yupo duniani anauza Dimpoz zake🤣🤣🤣
 
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo! Hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki.

Labda mnaemfahamu huyo jamaa, mtusaidie kutuambia ana mishe gani hapa mjini mpaka adhihaki wenzie?
1756324130458.png
 
Mbona Huwa namuona kwenye hafla za ikulu? Tena pembeni ya rais?
 
Yani binadamu sijui tumeumbwaje. Yani kabisa dushe linasimama kwa ommy dimpoz unamtongoza hadi anakubali kabisa hadi unamtatua?! Eti hadi mwarabu fighter anatongozagwa hadi anakubali na kutatuliwa! Pdiddy hadi shetani anashangaa anabaki mdomo wazi alivyokuwa akimtatua marinda Snoop.

Humanity is doomed and fuckedup!
Ndio maana kipenzi chetu cha dhati alipigana kufa na kupona kupinga huu udhalimu.....
 
Watu wanagawa vinyeo mkuu 😃 ukipenda kulinda marinda hautopata pesa ya kunywa mirinda MWISHO WA NUKUU
Watu wanaona ni kitu rahisi kupaka mafuta ya KY na kutoa kinyeo kisa pesa! 😔 Mungu tusaidie sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom