Hivi Ommy Dimpoz yeye anafanya kazi gani hadi adhihaki wenzake?

Hivi Ommy Dimpoz yeye anafanya kazi gani hadi adhihaki wenzake?

Status
Not open for further replies.
Matajiri wapuuzi sana sijui kwani wanapenda vinyeo vya wenzao
 
Sawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo! Hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki.

Labda mnaemfahamu huyo jamaa, mtusaidie kutuambia ana mishe gani hapa mjini mpaka adhihaki wenzie?
Anauza nyashi yake hapa mjini
 
Dar es salaam kuuliza mtu anafanyakazi gani ni maswali ya kikuda. Watu wote jijini wanaishi kwa longolongo na mambo yako mukide tu. Acheni hizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom