Hahaha ila wewe Jamaa πNdio maana kipenzi chetu cha dhati alipigana kufa na kupona kupinga huu udhalimu.....
πππ«‘π«‘Ww unadhani kutoa kijambio ni kazi ndogo?
Anauza nyashi yake hapa mjiniSawa Diamond na Mario walau tunaona kazi zao za sanaa, na wanapiga show mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Ila huyu Ommy Dimpoz yeye kazi yake ni nini, maana kwenye sanaa ni kama alishachemka kitambo! Hana elimu yoyote ya kusema labda atakua ni muajiriwa wa sehemu flani anapata ridhiki.
Labda mnaemfahamu huyo jamaa, mtusaidie kutuambia ana mishe gani hapa mjini mpaka adhihaki wenzie?
Comedian.....huelewi ?Alikua anachekesha nini?
Ntakusemea kwa adrizUnamaanisha Snoop? Mbona anatongozeka tu na kufumuliwa marinda. Diddy mpuuzi sana.
Oyaa divishen foo timiza majukumu yako ya kiserikaliNtakusemea kwa adriz