Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

Kuna jamaa kamaliza hapo, kitivo cha sheria ila mpaka sasa yupo benchi, sijui kuna nini!
 
Tulikuwa tunalipa 60000 kwa unit moja .kwa mwaka kama 1m kwa miaka 3.Changamoto ni wkat wa mitihan lazma uwepo physically

Milioni Moja Kwa Miaka mitatu au Kwa mwaka?

Vipi kuhusu materials ya kujifunzia
 
nenda kwenye website ya chuo ndo utapata majibu ya uwakika kama unahitaji uhakika zaidi
 
Uhakika mbona na comfortability ya kusoma ipo unatenga muda wako wa kusoma unaotaka wewe hata kama una majukumu mengine unaweza kufanya yote.
 
Hata mimi ni bachelor ya Taaluma ya Uchumi pia ni muajiriwa. Natamani sana kusoma sheria, hivyo ningpenda kufahamu muda wa kusoma na muda gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…