Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Uwakili ni biashara kama zilivyo biashara zingine.Mi nawaza tuu makosa mengine ningekua wakili ningekua nakataa kumteteq mteja
Na utetezi unaofanywa ni kwa technic za kisheria, yaani kuchallenge mashitaka na waandika mashitaka.
Maelezo ni marefu.