Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Oct 19, 2022 #181 Kalpana said: Mi nawaza tuu makosa mengine ningekua wakili ningekua nakataa kumteteq mteja Click to expand... Uwakili ni biashara kama zilivyo biashara zingine. Na utetezi unaofanywa ni kwa technic za kisheria, yaani kuchallenge mashitaka na waandika mashitaka. Maelezo ni marefu.
Kalpana said: Mi nawaza tuu makosa mengine ningekua wakili ningekua nakataa kumteteq mteja Click to expand... Uwakili ni biashara kama zilivyo biashara zingine. Na utetezi unaofanywa ni kwa technic za kisheria, yaani kuchallenge mashitaka na waandika mashitaka. Maelezo ni marefu.