Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Inanusa mafuta ia shda yake ina piston tatu kitu kinachofanya engine isiwe on balance mfano ukiwa kwenye folen umesimama utahisi had vibrations kwenye board, pili havina nguvu yani uwa nashangaa suzuki carry na cc660 ina nguvu kuliko passo yani passo ya cc990 ukipandisha watu wanne na wewe watano ukiwa wapanda mlima unafeel kabisa kuwa imebeba mzigo.Naomba kujuzwa ujazo wa tank la passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 km kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16..... km kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12km l
Sent using Jamii Forums mobile app
Inanusa mafuta ia shda yake ina piston tatu kitu kinachofanya engine isiwe on balance mfano ukiwa kwenye folen umesimama utahisi had vibrations kwenye board, pili havina nguvu yani uwa nashangaa suzuki carry na cc660 ina nguvu kuliko passo yani passo ya cc990 ukipandisha watu wanne na wewe watano ukiwa wapanda mlima unafeel kabisa kuwa imebeba mzigo.
Nne spare za passo ni bei hasa bush engine mount ni bei mkuu.
Ila kwa mizunguko ya town ni sawa tu
Passo ya cc990 ina tank yenye ujazo wa lita 38 hadi 40. Ulaji wake wa mafuta kwa wastani ni kati ya 12km/lita hadi 14km/lita.Naomba kujuzwa ujazo wa tank la Passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 KM kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16 KM kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12 KM.
Sent using Jamii Forums mobile app