Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Naomba kujuzwa ujazo wa tank la Passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 KM kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16 KM kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12 KM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app