Hivi Passo 990CC inakulaje mafuta?

Hivi Passo 990CC inakulaje mafuta?

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
4,327
Reaction score
8,142
Naomba kujuzwa ujazo wa tank la Passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 KM kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16 KM kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12 KM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari hula mafuta kwa namna tofauti katika gia tofauti
 
Naomba kujuzwa ujazo wa tank la passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 km kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16..... km kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12km l

Sent using Jamii Forums mobile app
Inanusa mafuta ia shda yake ina piston tatu kitu kinachofanya engine isiwe on balance mfano ukiwa kwenye folen umesimama utahisi had vibrations kwenye board, pili havina nguvu yani uwa nashangaa suzuki carry na cc660 ina nguvu kuliko passo yani passo ya cc990 ukipandisha watu wanne na wewe watano ukiwa wapanda mlima unafeel kabisa kuwa imebeba mzigo.
Nne spare za passo ni bei hasa bush engine mount ni bei mkuu.
Ila kwa mizunguko ya town ni sawa tu
 
Yaan Passo inakula km12 per lita? Mm nlidhani ka 25 hivi per lita ndo maana vinasifiwa. Kuliko kuteseka kwe hako kagari kwa 12 au 16 per lita bora ufurahie kwe yanayoitwa majini tu ila 8km au 7km per lita. Au ukishindwa hata corolla au premio carina etc.
 
Spea zake zina bei sana ila ndo nimezipenda japo nlikuwa nazichukia sana kabla sijamiliki paso
Inanusa mafuta ia shda yake ina piston tatu kitu kinachofanya engine isiwe on balance mfano ukiwa kwenye folen umesimama utahisi had vibrations kwenye board, pili havina nguvu yani uwa nashangaa suzuki carry na cc660 ina nguvu kuliko passo yani passo ya cc990 ukipandisha watu wanne na wewe watano ukiwa wapanda mlima unafeel kabisa kuwa imebeba mzigo.
Nne spare za passo ni bei hasa bush engine mount ni bei mkuu.
Ila kwa mizunguko ya town ni sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa ujazo wa tank la Passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 KM kwa lita ila kuna kipindi inanipa 16 KM kwa lita hasa nikiwa na safari ndefu ola mishe za mjini inanisomea 12 KM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Passo ya cc990 ina tank yenye ujazo wa lita 38 hadi 40. Ulaji wake wa mafuta kwa wastani ni kati ya 12km/lita hadi 14km/lita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom