Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa..kwa hiyo utumiaji wake mzito. Ila kuna wanawake hawazijui kabisa kama yule pale juu.Maumbile ya kike yako kwa ndani si rahisi kama maumbile ya kiume yalivyo kwa nje.
Zilifanyiwa sana promo miaka ya 2000, lakini hazikupendwa sana. Ninadhani za kiume imebaki kuwa njia sahihi ya kujilinda na STD’sSawa sawa..kwa hiyo utumiaji wake mzito. Ila kuna wanawake hawazijui kabisa kama yule pale juu.
Inamaana yeye kondomu/kinga ni mwanaume vinginevyo basi.
Duuh kweli nimefikiria nimepata jibu anaweza ishia kuji-selfie mwenyewe.Zilifanyiwa sana promo miaka ya 2000, lakini hazikupendwa sana. Ninadhani za kiume imebaki kuwa njia sahihi ya kujilinda na STD’s
Fikiria mdada ameshapiga glass mbili za wine aanze shughuli ya kuvaa pepeta!
Haha.
Sasa sababu ya wanawake kutokuzitumia ni ipi mkuu? Ni hii uliyoitaja au zipo zingine!
Nilikimbia nusura nivunjike mguu nikajua pepeta mpunga mbichi wa kukaanga, back days village, kumbe lady pepeta, daaah. Maendeleo hayana chamaNikajua mchele wa pepeta
Tungepata na kapicha IngependezaDuuh kweli nimefikiria nimepata jibu anaweza ishia kuji-selfie mwenyewe.
View attachment 1030451
Female condom
Zilifanyiwa sana promo miaka ya 2000, lakini hazikupendwa sana. Ninadhani za kiume imebaki kuwa njia sahihi ya kujilinda na STD’s
Fikiria mdada ameshapiga glass mbili za wine aanze shughuli ya kuvaa pepeta!
Hata mimi pia nimeingia KINGI kichwa kichwa.Nikajua mchele wa pepeta
Mkuu hata kapicha basiNaona jukumu la kuvaa kondomu tumeachiwa wanaume tu. Pepeta nyie mnaziona kwa wapenzi wenu wakuu kama tunavyotembea na zetu sie wanaume????
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaan zinaingizwa had kwenye uterus??Oh Lawd..muda huo ke anakuw nusu kaputi au??hahahahaa..hapana aisee..uterus iguswe labor tu kwakwel
ee!kuchokonolewa kisa utamu hapana aise..tunakubali labor tu..ila kisa sex!!!
Ahahahah kweli nyie viumbe ni selfish wa kihisia. Kwaiyo wakuharibu mfumo wa uzazi ni sisi tu....?!!!wee
ee!kuchokonolewa kisa utamu hapana aise..tunakubali labor tu..ila kisa sex!!!
hahhaa kwan nyie mnaumia wP mkivaa kinga?ishu kinga ya kike inSokomezwa ndani huhis km inaumiza😊Ahahahah kweli nyie viumbe ni selfish wa kihisia. Kwaiyo wakuharibu mfumo wa uzazi ni sisi tu....?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaa kwan nyie mnaumia wP mkivaa kinga?ishu kinga ya kike inSokomezwa ndani huhis km inaumiza[emoji4]