Hivi pepeta zimeenda wapi?

Hivi pepeta zimeenda wapi?

Kwanini mwanamke mkitaka kufanya ngono/tendo anakuambia vaa kinga. Kwanini wanafikori sisi ndiyo jukumu letu kuvaa wakati kondomu za kike zipo anaweza kuvaa yeye.
 
Maumbile ya kike yako kwa ndani si rahisi kama maumbile ya kiume yalivyo kwa nje.
Sawa sawa..kwa hiyo utumiaji wake mzito. Ila kuna wanawake hawazijui kabisa kama yule pale juu.

Inamaana yeye kondomu/kinga ni mwanaume vinginevyo basi.
 
Sawa sawa..kwa hiyo utumiaji wake mzito. Ila kuna wanawake hawazijui kabisa kama yule pale juu.

Inamaana yeye kondomu/kinga ni mwanaume vinginevyo basi.
Zilifanyiwa sana promo miaka ya 2000, lakini hazikupendwa sana. Ninadhani za kiume imebaki kuwa njia sahihi ya kujilinda na STD’s

Fikiria mdada ameshapiga glass mbili za wine aanze shughuli ya kuvaa pepeta!
 
Duuh kweli nimefikiria nimepata jibu anaweza ishia kuji-selfie mwenyewe.
 
Zilifanyiwa sana promo miaka ya 2000, lakini hazikupendwa sana. Ninadhani za kiume imebaki kuwa njia sahihi ya kujilinda na STD’s

Fikiria mdada ameshapiga glass mbili za wine aanze shughuli ya kuvaa pepeta!

😷😷😷😷😷😷😷
 
Aiseeeh me mwenzako huwa siyaamini yale mawese ya condom zetu.....huwa akili inanituma pengine yanaweza kuingia ndani na kunipa ugonjwa hatari wa upungufu wa nguvu zetu zile, then nikaumbuka mzee mzima toka kwenye 5 per 3hrs to 1 per 5min.....

Ila of course me sioni kama zina shida kwenu mydia....
hahhaa kwan nyie mnaumia wP mkivaa kinga?ishu kinga ya kike inSokomezwa ndani huhis km inaumiza[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Back
Top Bottom