Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

Hakuna sehemu kwenye Bible inayosema Mbinguni hakuna kula, hata Yesu alipokuwa akila na wanafunzi wake muda mfupi kabla ya kukamtwa aliwaambia "Amin nawaambia ninyi,sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu" Marko 14:25
Kitu kama hukijui ni bora kuuliza au kukaa kimya kuliko kupotosha.
 
Kula kupo kwenye Biblia Ila Unakula Nini?Mikate Na Divai Hapana, Binafsi Mimi Mikate sipendelei Tena Na Divai tu Afadhal Wangesema Na Na Blueband Na Chai ya Maziwa Siku mojamoja Hapo Unyama
 
ZABURI 37:29
"waadilifu wataimiliki nchi,
na wataishi humo milele"
Baada ya siku ya hukumu maisha ni hapa hapa duniani mambo yote yatafanyika hapa hapa
Na Siyo kama wengi wanavyodhani

Sema maisha yatakuwa ya furaha bila magonjwa wala kifo hakutakuwa na dhiki yoyote


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kula kupo kwenye Biblia Ila Unakula Nini?Mikate Na Divai Hapana, Binafsi Mimi Mikate sipendelei Tena Na Divai tu Afadhal Wangesema Na Na Blueband Na Chai ya Maziwa Siku mojamoja Hapo Unyama
Maziwa yapo, asali ipo pia ila blueband sijui
 
Ametukuka Mwenyezi Mungu 🙏
 
Hapo kwenye mitungi umrniogopesha mkuu ukiongelea mitungi watu washaanza kuwaza Shishaa😂😂
 
Peponi nasikia pako oooh my God yani kama bambalaga , ila
Mbinguni wanasema pamekaza sana🤣🤣🤣 eti hakuna njaa wala kiu halafu haitoshi sasa ni kusifu na kusujudu tu yani tuu 🤣🤣🤣
 
Sawa mkuu tupo katika kujuzana hem tuambia pepon kwa mujibu wa Biblia itakua namna gan?. Je yadunia yatakuwepo kama ilivyo isipo kua ya ubaya tuu?. Au unafikir nin kuhusu pepo ingependeza ukatupa na andiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kula mishkaki ya nyama za binadamu mapemaaa mkuu..!! Kule hamna mbuzi wala ngombe
 
Na mihogo, ndizi choma, Serengeti ndogo na kubwa, baridi sanaa!
 
Ahadi za kutosha
 
In contrary to many nimeona mtu wa Kwanza ambaye ameongea kuhusu life after death, je kunapepo au hakuna.

Idea za peponi/motoni zimeanzishwa na Wayahudi ambao walikuja kuwa Wakristo.

Biblia ya agano LA kale haizungumzii kabisa kuhusu motoni na kama upo.

Biblia kwa ujumla inasema Masihi ataishi na sisi Duniani milele na milele...

Idea ya mbinguni na motoni ni moro of poetic languages
 
Kwahiyo qur an ilitudanganya kujusu moto?
 
Kwahiyo qur an ilitudanganya kujusu moto?
Binadamu tuna kawaida moja hatufanyi jambo bila zawadi au adhabu

Peponi ni zawadi ya mtu atakaye amua kumfuata mungu asiyemjua, motoni ni adhabu kwa wasiomfuata.

Swali unapomtishia mtoto wako utamkata masikio kwa kutosikiliza huwa unafanya hivyo?
 
Sio tu nyama choma na bia, pia mdudu atakuwepo. Yaani ni mwendo wa kiti cha moto na udambu udambu kwa mbaaali
Siyo nyama Choma tu, kwa wenzetu watapata full set yaani nyama Choma na bia
 
🤣🤣🤣 shemeji sio nyama choma tu, mpk mapiano yapo ni wewe kuwahi nafasi mapema
 
Sawa mkuu tupo katika kujuzana hem tuambia pepon kwa mujibu wa Biblia itakua namna gan?. Je yadunia yatakuwepo kama ilivyo isipo kua ya ubaya tuu?. Au unafikir nin kuhusu pepo ingependeza ukatupa na andiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini Mbinguni ni kama huku dunia kwa vitu vingi kama majengo,bahari,vyakula na uwepo wa wanyama wa aina mbalimbali.Tofauti ni kwamba vitu vya uko vitakuwa vizuri na bora kuliko huku,kama ambavyo makazi ya nchi tajiri yalivyo bora kuliko makazi ya nchi maskini.
Mafundisho ya kuwa Mbinguni tutakuwa tukiabudu na kumsifu Mungu milele na milele ni mafundisho ya kipumbavu na lengo ni kuwafanya watu wapaone Mbinguni kuwa ni sehemu inayoboa sana.
Labda nikuulize Yesu aliposema anaenda kuwaandalia makazi watu wake unafikiri anaongelea makanisa na mahekalu?
 
🤣🤣🤣 shemeji sio nyama choma tu, mpk mapiano yapo ni wewe kuwahi nafasi mapema
Ntakuwa siti ya mbele kabisa, tena nikikabidhiwa daftari la uhakiki jina lako nalikata, Mzigua90 nayeye akiendelea na msimamo wake nakata jina lake mnaenda kuzimu wakati sisi tunajipanga kwenye bufee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…