Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

Pepon kwa mujibu wa Biblia hakuna kula, kuoa wala kuolewa . Kule tutaishi kama malaika. Yadunia yatakua yamefunga ukurasa.

Kwa mujibu wa Quran pepon nikama dunia yapili yaan kama hukupata raha dunian lakin uliiishi din zinaweza kuwepo labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu kwenye Bible inayosema Mbinguni hakuna kula, hata Yesu alipokuwa akila na wanafunzi wake muda mfupi kabla ya kukamtwa aliwaambia "Amin nawaambia ninyi,sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu" Marko 14:25
Kitu kama hukijui ni bora kuuliza au kukaa kimya kuliko kupotosha.
 
Kula kupo kwenye Biblia Ila Unakula Nini?Mikate Na Divai Hapana, Binafsi Mimi Mikate sipendelei Tena Na Divai tu Afadhal Wangesema Na Na Blueband Na Chai ya Maziwa Siku mojamoja Hapo Unyama
 
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.

Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali.

Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu unatumia nguvu nyingi kuzuia jambo langu.
ZABURI 37:29
"waadilifu wataimiliki nchi,
na wataishi humo milele"
Baada ya siku ya hukumu maisha ni hapa hapa duniani mambo yote yatafanyika hapa hapa
Na Siyo kama wengi wanavyodhani

Sema maisha yatakuwa ya furaha bila magonjwa wala kifo hakutakuwa na dhiki yoyote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Maziwa yapo, asali ipo pia ila blueband sijui
 
Soma hii sura ya Quran tukufu inayoelezea baadhi ya mazuri watakayoyapa watu watakaoingia peponi.
SURA INAITWA ALWAAQIA

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Litakapo tukia hilo Tukio 1

2. Hapana cha kukanusha kutukia kwake. 1

3. Literemshalo linyanyualo, 3

4. Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso, 4

5. Na milima itapo sagwasagwa, 5

6. Iwe mavumbi yanayo peperushwa, 6

7. Na nyinyi mtakuwa namna tatu: 7

8. Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani? 8

9. Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni? 9

10. Na wa mbele watakuwa mbele. 10

11. Hao ndio watakao karibishwa 11

12. Katika Bustani zenye neema. 12

13. Fungu kubwa katika wa mwanzo, 13

14. Na wachache katika wa mwisho. 14

15. Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa. 15

16. Wakiviegemea wakielekeana. 16

17. Wakitumikiwa na wavulana wa ujana wa milele, 17

18. Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi. 18

19. Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa. 19

20. Na matunda wayapendayo, 20

21. Na nyama za ndege kama wanavyo tamani. 21

22. Na Mahurulaini, 22

23. Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa. 23

24. Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda. 24

25. Humo hawatasikia porojo wala maneno ya dhambi, 25

26. Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. 26

27. Na wale wa mkono wa kulia, ni yepi yatakuwa ya wa kuliani? 27

28. Katika mikunazi isiyo na miba, 28

29. Na migomba iliyo pangiliwa, 29

30. Na kivuli kilicho tanda, 30

31. Na maji yanayo miminika, 31

32. Na matunda mengi, 32

33. Hayatindikii wala hayakatazwi, 33

34. Na matandiko yaliyo nyanyuliwa. 34

35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya, 35

36. Na tutawafanya vijana, 36

37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja. 37

38. Kwa ajili ya watu wa kuliani. 38

39. Fungu kubwa katika wa mwanzo, 39

40. Na fungu kubwa katika wa mwisho. 40

41. Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni? 41

42. Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, 42

43. Na kivuli cha moshi mweusi, 43

44. Si cha kuburudisha wala kustarehesha. 44

45. Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. 45

46. Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa, 46

47. Na walikuwa wakisema: Tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa? 47

48. Au baba zetu wa zamani? 48

49. Sema: Hakika wa zamani na wa mwisho 49

50. Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. 50

51. Kisha nyinyi, mlio potea, mnao kanusha, 51

52. Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu. 52

53. Na kwa mti huo mtajaza matumbo. 53

54. Na juu yake mtakunywa maji yanayo chemka. 54

55. Tena mtakunywa kama wanavyo kunywa ngamia wenye kiu. 55

56. Hiyo ndiyo karamu yao Siku ya Malipo. 56

57. Sisi tumekuumbeni; basi hamsadiki? 57

58. Je! Mnaiona mbegu ya uzazi mnayo idondokeza? 58

59. Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? 59

60. Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi 60

61. Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua. 61

62. Na bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa nini hamkumbuki? 62

63. Je! Mnaona makulima mnayo yapanda? 63

64. Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? 64

65. Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu, 65

66. Mkisema: Hakika sisi tumegharimika; 66

67. Bali sisi tumenyimwa. 67

68. Je! Mnayaona maji mnayo yanywa? 68

69. Je! Ni nyinyi mnayo yateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha? 69

70. Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru? 70

71. Je! Mnauona moto mnao uwasha? 71

72. Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? 72

73. Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. 73

74. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu. 74

75. Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 75

76. Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua! 76

77. Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu, 77

78. Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. 78

79. Hapana akigusaye ila walio takaswa. 79

80. Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 80

81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? 81

82. Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? 82

83. Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo, 83

84. Na nyinyi wakati huo mnatazama! 84

85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. 85

86. Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, 86

87. Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 87

88. Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa, 88

89. Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema. 89

90. Na akiwa katika watu wa upande wa kulia, 90

91. Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia. 91

92. Na ama akiwa katika walio kadhibisha wapotovu, 92

93. Basi karamu yake ni maji yanayo chemka, 93

94. Na kutiwa Motoni. 94

95. Hakika hii ndiyo haki yenye yakini. 95

96. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa. 96
Ametukuka Mwenyezi Mungu 🙏
 
Kwa Mujibu wa Biblia Ni Mwendo wa Mikate Na Divai Mpaka Mseme Ila Kwenye Quran Mungu Anasema Amewaandalia Waja Wema pepo ambayo hata hawawezi Ifikiria Kuna Kila Kitu kwenye pepo hiyo kwenye quran Vimetajwa Vingi tu Mabustani ya mizabibu na Tende,Maziwa,Asali Mpaka mitungi Imetajwa Lakini Mitungi ya Peponi Kwetu Haiondoi Mtu Akili bila Kusahau Mabikra 72 Yaan Haiwezekani duniania Nijizue na Uzinzi Kisha Nisipate Malipo
Hapo kwenye mitungi umrniogopesha mkuu ukiongelea mitungi watu washaanza kuwaza Shishaa😂😂
 
Peponi nasikia pako oooh my God yani kama bambalaga , ila
Mbinguni wanasema pamekaza sana🤣🤣🤣 eti hakuna njaa wala kiu halafu haitoshi sasa ni kusifu na kusujudu tu yani tuu 🤣🤣🤣
 
Hakuna sehemu kwenye Bible inayosema Mbinguni hakuna kula, hata Yesu alipokuwa akila na wanafunzi wake muda mfupi kabla ya kukamtwa aliwaambia "Amin nawaambia ninyi,sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu" Marko 14:25
Kitu kama hukijui ni bora kuuliza au kukaa kimya kuliko kupotosha.
Sawa mkuu tupo katika kujuzana hem tuambia pepon kwa mujibu wa Biblia itakua namna gan?. Je yadunia yatakuwepo kama ilivyo isipo kua ya ubaya tuu?. Au unafikir nin kuhusu pepo ingependeza ukatupa na andiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kula mishkaki ya nyama za binadamu mapemaaa mkuu..!! Kule hamna mbuzi wala ngombe
 
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.

Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali.

Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu unatumia nguvu nyingi kuzuia jambo langu.
Na mihogo, ndizi choma, Serengeti ndogo na kubwa, baridi sanaa!
 
Soma hii sura ya Quran tukufu inayoelezea baadhi ya mazuri watakayoyapa watu watakaoingia peponi.
SURA INAITWA ALWAAQIA

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Litakapo tukia hilo Tukio 1

2. Hapana cha kukanusha kutukia kwake. 1

3. Literemshalo linyanyualo, 3

4. Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso, 4

5. Na milima itapo sagwasagwa, 5

6. Iwe mavumbi yanayo peperushwa, 6

7. Na nyinyi mtakuwa namna tatu: 7

8. Basi watakuwepo wa kuliani; je, ni wepi wa kuliani? 8

9. Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni? 9

10. Na wa mbele watakuwa mbele. 10

11. Hao ndio watakao karibishwa 11

12. Katika Bustani zenye neema. 12

13. Fungu kubwa katika wa mwanzo, 13

14. Na wachache katika wa mwisho. 14

15. Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa. 15

16. Wakiviegemea wakielekeana. 16

17. Wakitumikiwa na wavulana wa ujana wa milele, 17

18. Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi. 18

19. Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa. 19

20. Na matunda wayapendayo, 20

21. Na nyama za ndege kama wanavyo tamani. 21

22. Na Mahurulaini, 22

23. Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa. 23

24. Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda. 24

25. Humo hawatasikia porojo wala maneno ya dhambi, 25

26. Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. 26

27. Na wale wa mkono wa kulia, ni yepi yatakuwa ya wa kuliani? 27

28. Katika mikunazi isiyo na miba, 28

29. Na migomba iliyo pangiliwa, 29

30. Na kivuli kilicho tanda, 30

31. Na maji yanayo miminika, 31

32. Na matunda mengi, 32

33. Hayatindikii wala hayakatazwi, 33

34. Na matandiko yaliyo nyanyuliwa. 34

35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini) upya, 35

36. Na tutawafanya vijana, 36

37. Wanapendana na waume zao, hirimu moja. 37

38. Kwa ajili ya watu wa kuliani. 38

39. Fungu kubwa katika wa mwanzo, 39

40. Na fungu kubwa katika wa mwisho. 40

41. Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni? 41

42. Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, 42

43. Na kivuli cha moshi mweusi, 43

44. Si cha kuburudisha wala kustarehesha. 44

45. Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. 45

46. Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa, 46

47. Na walikuwa wakisema: Tutakapo kufa na tukawa udongo na mafupa, ati ndio tutafufuliwa? 47

48. Au baba zetu wa zamani? 48

49. Sema: Hakika wa zamani na wa mwisho 49

50. Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. 50

51. Kisha nyinyi, mlio potea, mnao kanusha, 51

52. Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu. 52

53. Na kwa mti huo mtajaza matumbo. 53

54. Na juu yake mtakunywa maji yanayo chemka. 54

55. Tena mtakunywa kama wanavyo kunywa ngamia wenye kiu. 55

56. Hiyo ndiyo karamu yao Siku ya Malipo. 56

57. Sisi tumekuumbeni; basi hamsadiki? 57

58. Je! Mnaiona mbegu ya uzazi mnayo idondokeza? 58

59. Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? 59

60. Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi 60

61. Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua. 61

62. Na bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa nini hamkumbuki? 62

63. Je! Mnaona makulima mnayo yapanda? 63

64. Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? 64

65. Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu, 65

66. Mkisema: Hakika sisi tumegharimika; 66

67. Bali sisi tumenyimwa. 67

68. Je! Mnayaona maji mnayo yanywa? 68

69. Je! Ni nyinyi mnayo yateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha? 69

70. Tungeli penda tungeli yafanya ya chumvi. Basi mbona hamshukuru? 70

71. Je! Mnauona moto mnao uwasha? 71

72. Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? 72

73. Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. 73

74. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu. 74

75. Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 75

76. Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua! 76

77. Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu, 77

78. Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. 78

79. Hapana akigusaye ila walio takaswa. 79

80. Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 80

81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? 81

82. Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? 82

83. Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo, 83

84. Na nyinyi wakati huo mnatazama! 84

85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. 85

86. Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, 86

87. Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 87

88. Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa, 88

89. Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema. 89

90. Na akiwa katika watu wa upande wa kulia, 90

91. Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia. 91

92. Na ama akiwa katika walio kadhibisha wapotovu, 92

93. Basi karamu yake ni maji yanayo chemka, 93

94. Na kutiwa Motoni. 94

95. Hakika hii ndiyo haki yenye yakini. 95

96. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa. 96
Ahadi za kutosha
 
ZABURI 37:29
"waadilifu wataimiliki nchi,
na wataishi humo milele"
Baada ya siku ya hukumu maisha ni hapa hapa duniani mambo yote yatafanyika hapa hapa
Na Siyo kama wengi wanavyodhani

Sema maisha yatakuwa ya furaha bila magonjwa wala kifo hakutakuwa na dhiki yoyote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
In contrary to many nimeona mtu wa Kwanza ambaye ameongea kuhusu life after death, je kunapepo au hakuna.

Idea za peponi/motoni zimeanzishwa na Wayahudi ambao walikuja kuwa Wakristo.

Biblia ya agano LA kale haizungumzii kabisa kuhusu motoni na kama upo.

Biblia kwa ujumla inasema Masihi ataishi na sisi Duniani milele na milele...

Idea ya mbinguni na motoni ni moro of poetic languages
 
Kwahiyo qur an ilitudanganya kujusu moto?
 
Binadamu tuna kawaida moja hatufanyi jambo bila zawadi au adhabu

Peponi ni zawadi ya mtu atakaye amua kumfuata mungu asiyemjua, motoni ni adhabu kwa wasiomfuata.

Swali unapomtishia mtoto wako utamkata masikio kwa kutosikiliza huwa unafanya hivyo?
 
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.

Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali.

Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu unatumia nguvu nyingi kuzuia jambo langu.
🤣🤣🤣 shemeji sio nyama choma tu, mpk mapiano yapo ni wewe kuwahi nafasi mapema
 
Sawa mkuu tupo katika kujuzana hem tuambia pepon kwa mujibu wa Biblia itakua namna gan?. Je yadunia yatakuwepo kama ilivyo isipo kua ya ubaya tuu?. Au unafikir nin kuhusu pepo ingependeza ukatupa na andiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini Mbinguni ni kama huku dunia kwa vitu vingi kama majengo,bahari,vyakula na uwepo wa wanyama wa aina mbalimbali.Tofauti ni kwamba vitu vya uko vitakuwa vizuri na bora kuliko huku,kama ambavyo makazi ya nchi tajiri yalivyo bora kuliko makazi ya nchi maskini.
Mafundisho ya kuwa Mbinguni tutakuwa tukiabudu na kumsifu Mungu milele na milele ni mafundisho ya kipumbavu na lengo ni kuwafanya watu wapaone Mbinguni kuwa ni sehemu inayoboa sana.
Labda nikuulize Yesu aliposema anaenda kuwaandalia makazi watu wake unafikiri anaongelea makanisa na mahekalu?
 
🤣🤣🤣 shemeji sio nyama choma tu, mpk mapiano yapo ni wewe kuwahi nafasi mapema
Ntakuwa siti ya mbele kabisa, tena nikikabidhiwa daftari la uhakiki jina lako nalikata, Mzigua90 nayeye akiendelea na msimamo wake nakata jina lake mnaenda kuzimu wakati sisi tunajipanga kwenye bufee
 
Back
Top Bottom