Hivi pesa ambazo timu zinapata kwenye mashindano ya kimataifa zinakatwa kodi?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa.

Pesa hizi zinakatwa kodi?
 
Kwa nchi zenye viongozi wanaojitambua hapa ndo Waziri wa fedha anatoa motisha. Atasamehe Kodi na kuamuru Kodi yote iwe bonus Kwa Wachezaji.
Nchi yangu Sasa!!!!!
 
Back
Top Bottom