Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa.
Mfano Yanga kuingia tu fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo fainali ya Champions league walikunja dola mia kadhaa. Pesa hizi zinakatwa kodi?
Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa.
Kwa nchi zenye viongozi wanaojitambua hapa ndo Waziri wa fedha anatoa motisha. Atasamehe Kodi na kuamuru Kodi yote iwe bonus Kwa Wachezaji.
Nchi yangu Sasa!!!!!