Hivi pesa ya mkopo unapaswa kuitolea fungu la kumi?

Hivi pesa ya mkopo unapaswa kuitolea fungu la kumi?

Kwa kweli mimi huwa nampa mama angu some amount anibariki kwa kula anachotaka na kununua anachotaka ili Mungu/ Universe iniongoze kwa busara katika matumizi.
asante kwa maoni mkuu
 
Logically Yes, na ni kwasababu mkopo utapunguza monthly income yako.

So, ili uende sawa itabidi uanze kutoa fungu la 10 hata kwenye hela ya mkopo.
 
asante kwa maoni mkuu
Kuliko nimpe mtu anifikishie kwa Mungu ni bora nimpe atumie yule ambaye amehusishwa kwenye uumbaji wangu, nina uhakika nililala kwenye tumbo lake.....akipata raha yeye mbengo zinanifungukia.
 
Funguo la kumi hulipwa kwenye faida SI mtaji.

Mkopo ni mtaji.
 
Logically Yes, na ni kwasababu mkopo utapunguza monthly income yako.

So, ili uende sawa itabidi uanze kutoa fungu la 10 hata kwenye hela ya mkopo.
Sasa huoni kama ni double tax hiyo maana monthly income nayo unatakiwa uitolee fungu la kumi.
 
Mkuu nafikir ungepata kidogo somo juu ya zaka,sadaka na fungu la10.ingekuw poa sn
 
Na jumapili ya trh 11 tunakusanya bahasha za zaka,

Leteni zaka kamili nyumbn mwa bwana ili kiwemo chakula Cha kutosha ghalani
 
Back
Top Bottom