nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
-
- #21
asante kwa maoni mkuuKwa kweli mimi huwa nampa mama angu some amount anibariki kwa kula anachotaka na kununua anachotaka ili Mungu/ Universe iniongoze kwa busara katika matumizi.
SawaInasikitisha sana
Sio kumi?Pesa ya mkopo ili uweze kuirudisha kwa haraka bila kukwama inatakiwa uitolee fungu la ishirini.... Sauti ya mtumishi
Kuliko nimpe mtu anifikishie kwa Mungu ni bora nimpe atumie yule ambaye amehusishwa kwenye uumbaji wangu, nina uhakika nililala kwenye tumbo lake.....akipata raha yeye mbengo zinanifungukia.asante kwa maoni mkuu
Toa la 20 ili Mungu ashushe mibaraka mikubwamikubwa kwakoSio kumi?
Sasa huoni kama ni double tax hiyo maana monthly income nayo unatakiwa uitolee fungu la kumi.Logically Yes, na ni kwasababu mkopo utapunguza monthly income yako.
So, ili uende sawa itabidi uanze kutoa fungu la 10 hata kwenye hela ya mkopo.
Hakuna pesa unayotakiwa kuitolea fungu la kumi, acha ujinga.samahan naomba ufafanuzi hapa asanteni. mods naomba mnirekebishe title iwe kuitolea fungu la kumi au