JauMbagala
Money is just an idea. Kama ni Dar mzunguko wa hela ni mkubwa kutokana na kuwa lango la nchi, mikoani pesa zipo kwa msimu tu kulingana na shughuli zilizopo.Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani.
Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar.
Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
Namna hiyo.Kweli kabisa,na pia sio kua mikoani hakuna hela,ila namaanisha upatikanaji wa fursa kwa wingi na kwa wakati