Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

mkuu hela popote ipo inategemea na kazi yako lkn dar ipo nyingi.kwa sababu
1,kampuni nyingi

2,watu ni wengi
3,biashara nyingi na n.k
na hivo inapelekea kuwa na mzunguko mkubwa wa fedha(high money circulation)japokuwa na matumizi pia ni makubwa.ko ww fanya mitego tu popote hela unainasa.
 
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani.
Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar.
Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
Money is just an idea. Kama ni Dar mzunguko wa hela ni mkubwa kutokana na kuwa lango la nchi, mikoani pesa zipo kwa msimu tu kulingana na shughuli zilizopo.
 
Connection is the key.

Hata uwe wapi kama una connection mbona pesa unapata hapo
 
Back
Top Bottom