Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.

Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?
 

kipindi cha karibuni huyu bwana ailkua mlevi kupindukia inasemekana pombe zlikua na atahri kwenye utendaji kazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…