wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.
Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?
Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?