Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

Sijui kwa sasa kapatwa na nini
Mmoja ya watangazaji wa mwanzo kabisa walio wafanya watu wengi waanze kufatilia vipindi vya magazeti asubuhi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.

Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?


Vipi Fredwaa, Husna Abdull (Dahuu) wako wapi nao..?
hauhisi kama kuna Kitu, Ni Likizo tu au Kuna formation ya Kipindi CLASSIC FM inatengenezwa..?, PJ ok nenda Kunduchi Green Palm
 
Nilikuwa msikilizaji sana wa kipindi chao chenye jingle ya "Mambo mambo eheee sasaaaaa kilikuwa kipindi cha night hivi".
Mambo mambo eeeeh...

Ilikuwa saa kumi na robo mzee baba baada ya habari kwa ufupi na ikifuatiwa taarifa za vifo na ikifika kumi na dk 15 wazee wanashusha jingel kuashiria kimenuka...Enzi hizo RFA ni sound Of Africa for real.

Na nilikuwa na ndoto kuanzia utotoni kutangaza pale, naomba nipate connection yao nitatangaza bure kbsa sitak kulipwa for certain period of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkumbuka Sana huyu Mwamba anaitwa Poll James Swea mkelewe Huyu kaanza kuvuma na RFA MWANZA
 
Back
Top Bottom