Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.
Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?
Egbert Mkoko, Hamissi Dambaya na mmoja nimemsahau jinaMiongoni mwa akina freedwaa
Nilikuwa msikilizaji sana wa kipindi chao chenye jingle ya "Mambo mambo eheee sasaaaaa kilikuwa kipindi cha night hivi".
Mambo mambo eeeeh...Nilikuwa msikilizaji sana wa kipindi chao chenye jingle ya "Mambo mambo eheee sasaaaaa kilikuwa kipindi cha night hivi".