joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hawaruhusiwi hata kwenda likizo?Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.
Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?
Atakuwa alienda wuhan sasa inabidi asubiri ugonjwa ule uishe Ndiyo arudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni utoto....mtu ameanza kunywa pombe miaka 100 leo ndiyo iwe ishu?.Jamaa ana kipaji kikubwa sana cha utangazaji,ana sauti ya kipekee tatizo lake ni mtu wa mitungi sana.
[emoji1]Beki wa Yanga aliyejifunga gori..
Kabisa, maana kila comment anajibu na ni kama vile kuna kitu anakijua kuhusu PJ ila anataka kuona kama watu wa humu wanafahamu chochote.Mtoa mada, wa stendi, (nadhani) kuna kitu cha ziada kuhusu PJ unataka kutuambia
Kwa hadhi aliyokuwa nayo na sauti aliyokuwa nayo sasa hivi angekuwa yupo DW,BBC swahili.Ila pombe zinamrudisha nyuma,hata kama akiwa na miaka 1000.Acheni utoto....mtu ameanza kunywa pombe miaka 100 leo ndiyo iwe ishu?.