Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

Huyu mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Jahazi,Paul James maarufu kwa PJ ni muda kidogo simsikii, takriban mwezi unakatika kwa sasa. Ni watangazaji wawili tu Gardner G Habash na Joji Bantu ndiyo wanafanya kipindi wenyewe.

Je, huyu mwenzao kapatwa na nini au yuko wapi mwenye kujua atujuze tafadhali?
Hawaruhusiwi hata kwenda likizo?
Yuko sengerema kwa mama yake
 
Acheni utoto....mtu ameanza kunywa pombe miaka 100 leo ndiyo iwe ishu?.
Kwa hadhi aliyokuwa nayo na sauti aliyokuwa nayo sasa hivi angekuwa yupo DW,BBC swahili.Ila pombe zinamrudisha nyuma,hata kama akiwa na miaka 1000.
 
Back
Top Bottom