Hivi PJ, mtangazaji wa Clouds FM, alienda wapi?

Niliwahi kumsikia kwenye kipindi cha jahazi kuanzia saa 10'hadi saa 1 moja usiku
 
Si kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kweli,kipindi cha RFA ndicho kulichokua kina wasikilizaji wengi nchi nzima kuanzia wakulima,wafanyakazi,wanafunzi maana hio saa 12.30 asubuhi ulikua muda watu wengi hapa nchini wako wanajiandaa na shughuli zao kila siku.

PJ labda alifanikiwa huko kwa wanaume wa daslam
 
Si kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30

Kifunze kutofautisha mwanzo na wakwanza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliaji

Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka hajui tofauti ya mwanzoni na wakwanza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…