Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, maana kila comment anajibu na ni kama vile kuna kitu anakijua kuhusu PJ ila anataka kuona kama watu wa humu wanafahamu chochote.
Kila comment anajibu kama vile anamfahamu sana na maeneo yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Possible.Itakuwa kuvuta sigara au pengine bhangi.
Mmoja ya watangazaji wa mwanzo kabisa walio wafanya watu wengi waanze kufatilia vipindi vya magazeti asubuhi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli nimeanza kuzeeka maana sijaelewa unachomaanisha.Jamaa mtu wa vyombo na kukimbiza mwenge kwa saana tu.
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliajiSi kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Anamanisha jamaa ni mtu wa pombe kwa sana yaani mnywaji kweli kweliKweli nimeanza kuzeeka maana sijaelewa unachomaanisha.
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma uyo paul James sweya.Jamaa ana kipaji kikubwa sana cha utangazaji,ana sauti ya kipekee tatizo lake ni mtu wa mitungi sana.
Hao hawakuwa wachambuzi, walikuwa wasomaji wa magazeti.Si kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30
Hata RFA aliishafanya kazi.Si kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30
Anapiga sana mitungi na fegi kwa saanaKweli nimeanza kuzeeka maana sijaelewa unachomaanisha.
Si kweli wafanyakazi wa RFA ndio walionza na kipindi chao Watanzania tuongee magazeti kila siku asubuhi saa 12.30
Unajua maana ya wengi waanze kufwatilia?? Aliye comment kamaanisha vipindi vilikuwepo kwenye radio kadhaa laiki Pj ndio alifanikiwa kuwafanya wengi wawe wafwatiliaji
Sent using Jamii Forums mobile app