Mkuu naomba kukuuliza umesoma kozi gani???
Kuhusu qualifications wanachukua watu wa statistics, economics, planning ,mathematics
Upande wa ajira private sectors inadepend wanataka mtu aliyesomea nini, kati ya hizo kozi hapo juu
Government ajira karibia zote zinatoka wizara ya fedha na mipango
Kuhusu kazi za kufanya wanadili sana na utekelezaji wa budget iliyosomwa na bunge. Fedha zote za idara zote za serikali (mikoa ,wilaya,halmadhauri)) lazima zipite kwa hao jamaa , (nimeeleza juu sana)
Sasa ukiangalia hizo kazi hapo lazima mtu uwe na knowledge kubwa ya research, hesabu , na uchumi maana katika utekelezaji lazima utumie hivyo vitu.
Mwisho huwezi fanya planning bila research kwenye interview maswali karibia yote yanatoka humo.
Sent using
Jamii Forums mobile app