Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Toka aanze kuimba nini sijui kamili gado ndio nikaacha kumsikiliza ,nimemzoea kwenye ngoma kama piga makofi ...

Ahangaike na ubunge tu aachane na mziki
 
Bro, utakua na matatizo yako binafsi! Kimsing m hua naelewa sana ngoma za j...
 
aacha mziki ili agundue nini??

mkuu wakati unaisikiliza ile ngoma ulikuwa kwenye daladala au hukua free

hebu tulia kwa makini uisikilize vizuri
Hata niskiluze mala laki tano.ni mbaya
 
Jina langu linavuma kwenye mitaa
Jina langu lina hadhi ya kisupa staa

Jina langu linaongeza idadi ua maadui
Wengine nawajua wengine siwatambui.


Acha masiara wewee,nigga jay hajawahi toa nyimbo mbaya
Tatizo mnakurupuka kucoment bila kusoma vizuri uzi
 
Usiseme ngoma ni mbaya sema hujaielewa, hakunaga muziki mzuri wala mbaya
 
Hebu toa yako mkuu.
 
Mwache aendelee na huo huo mziki maana kazi yako hataiweza ya kabisa.
 
Una matatzo ya masikio labda.. Nenda kasikilize kokoro kama haumuelewi prof sababu hiyo ndo itakufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…