Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha we ni kibokoNyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
Kwanza unajua proffesor anaimba aina gani ya hiphopHujui hip hop
Sio kosa lako nakusamehe,,ni kosa la kusujudia binadamu mwenzakoAu nyie ndo mlipanda mabasi kwa mabasi kwenda kupinga ubunge wake? , ila nimemsikia anasema kesha wasamehe na akasisitiza kazeni buti wanangu.
Ndio maana nimesema hujui hip hop na hata misingi yake huijui,! Kwa hiyo hip hop ina aina zake[emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watoto mliozaliwa kipindi cha mkapa mna tabu sanaKwanza unajua proffesor anaimba aina gani ya hiphop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana haya sio mahaba tenaHuyu jamaa ni mkongwe kwenye hii fani...hata akitoa CD empty tutanunua tu.
Wewe ni wakuchapa kihuni maana hauna maaana mayo zakiLeo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,
Kibabe ni ngoma kali sana wala huhitaji kuisikiliza mara mbili kuielewa, mleta post masikio yake yana mategeI like the song,..take a time nadhani utaelewa radha iliyomo katika ile nyimbo
Sasa umejuaje kama ni nzuri....!!!Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo ni nzurisana japo sijapata kuisikiliza