Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Prof J...sio Plof J.
aaa usibadilishe mada wewe, yeye kasema plof J, asa professor J anaingiaje tena hapo, itabidi plof j ndo aache muziki, ila yule wa mtulinga ngoma inogile
 
Au nyie ndo mlipanda mabasi kwa mabasi kwenda kupinga ubunge wake? , ila nimemsikia anasema kesha wasamehe na akasisitiza kazeni buti wanangu.
 
Nakuchapa kiheshima
Nakuchapa kihuni
.
Alafu mwambie mfalme wenu aje afute kiti changu pale bungeni
 

We jamaa una matatizo yako binafsi unafikiri kuna mjinga wa kukuunga mkono kwa mada kama hii sahihisha kwanza herufi zako kisha anza kumkosoa prof j
 
Endelea kukatika sana ukajua unamwonyesha mume mautundu,miuno mingine inatukera ase,mwache jamaa aimbe na uache chuki
 
kila nabiii na wafuasi wake na kila msanii na washabiki wa zama zake tupo tulio muelewa zee la mitulinga .....alishakuchapa kiheshima
 
Anasema "nakuchapa kwa fans base licha ya hata mikumi", kila ikiisha nai-replay maana siichoki hii ngoma,
Viva wa mitulinga
 
Ushaur wako haumsaidii chochote it's better kukomaa na mambo zako nyimbo kali sana sema tatizo kutokuujua mziki ni tatizo
 
Profesa anatafuta kiki wa cyo pesa,anabust siasa yake kimtindo
 
Hao teenagers Wengi wamezoea instrumental za wasafi, hata kilichoimbwa hawataki kukijua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…