Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

Sisi watu wa rika lake tunamuelewa hilo ni bonge LA song
 
Badala ya kumshauri aache mziki mimi nakushauri uache kumsikiliza.
 
Au nyie ndo mlipanda mabasi kwa mabasi kwenda kupinga ubunge wake? , ila nimemsikia anasema kesha wasamehe na akasisitiza kazeni buti wanangu.
Sio kosa lako nakusamehe,,ni kosa la kusujudia binadamu mwenzako
 
Kwanza unajua proffesor anaimba aina gani ya hiphop
Ndio maana nimesema hujui hip hop na hata misingi yake huijui,! Kwa hiyo hip hop ina aina zake[emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watoto mliozaliwa kipindi cha mkapa mna tabu sana
 
Wewe ni wakuchapa kihuni maana hauna maaana mayo zaki
 
Sio la zima wore tuwe wanamuziki. Unaeza kua mwanamuziki baadae ukawa shabiki tu wakusikiliza ngoma za wwnzako
 
Duh!! We jamaa utakuwa unazimia flavor za kina Young Killer!! Yaani unathubutu kusema Kibabe ni ya kawaida?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…