sparrow junior
Member
- Sep 29, 2011
- 16
- 2
- Thread starter
-
- #21
Akijichanganya dogo itakula kwake maana ndio vitu vya kusoma hvyo kwa sasa au hata uuguzi nako ajira zao fasta
vip kuhusu engeneer na law ajira zipo?
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.
ili jamaa mi nilivoona jina lake nikajua lina busara kumbe great jinga!
vip kuhusu engeneer na law ajira zipo?
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.
vip kuhusu engeneer na law ajira zipo?
thanx alot..ntasoma hii kitu coz ,niko talented na hizo field
acheni kumpotosha mwenzxenu.
1. unakuwa afisa mahusiano wa Industry-sehemu unayofanyia kazi.
2. ajira kwenye makampuni ya matangazo
3. kufanya kazi kwenye vituo vya redio, tv na magazeti
4. na anything related to social science, unaweza ukaaply na ukacompete
mi nakushauri piga hiyo digrii yako ukimaliza utajua utoke vip, ila jambo la muhimu ni kumtegemea mungu! huwez jua jua kama kampun inaajiri mtu 1 basi utaajiriwa ww, Inawezekana watu wote wakakimbia hii fildi kwa woga wa ajira ukajikuta upo peke yako na kazi kedekede.
huyu ndiye aliyeelewa swali langu,wengine wanadakia tu
hivi nyie mnajua mshahara wa walimu na mazingira yao,bora nisome digrii yeyote nijtupie jeshini kuliko kua mwalimu