Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

Akijichanganya dogo itakula kwake maana ndio vitu vya kusoma hvyo kwa sasa au hata uuguzi nako ajira zao fasta

hivi nyie mnajua mshahara wa walimu na mazingira yao,bora nisome digrii yeyote nijtupie jeshini kuliko kua mwalimu
 
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.

faulu kwanza,usije kupata div.4 ukabaki na ndoto zako milele
 
Ajira Kweli ni ngumu maana nafasi ni finyu sana ktk field yako maana, sijawahi kuona kampuni inakuwa na public relation officer zaidi ya mmoja. Lakini sio mbaya ukitimiza ndoto zako, lakini ni vizuri kuwa na malengo kuliko ndoto.
 
mi nakushauri piga hiyo digrii yako ukimaliza utajua utoke vip, ila jambo la muhimu ni kumtegemea mungu! huwez jua jua kama kampun inaajiri mtu 1 basi utaajiriwa ww, Inawezekana watu wote wakakimbia hii fildi kwa woga wa ajira ukajikuta upo peke yako na kazi kedekede.
 
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.

Kimsingi hujui unataka kuwa nani bidae hadi sasa. Nimefikiria sana.

We really don't have career progression centres. Wenzetu wanazo, ukimaliza O au A-Level students should be advised on their career aspirations. Naamini ndio maana kila cku humu ndani unaona kila mtu anatamani kazi ya mwenzake, wakati mwingine analipwa vizuri zaidi ya hiyo anayoitaka. Its a high time that we change this system and establish these career centres. Its capital intensive maana it requires to overhaul our education system. But we should start, its a high time to think and start that. We really have to. Just thinking it loud.......

Kuhusiana na hiko la PR umepata mawazo mengi.........
 
vip kuhusu engeneer na law ajira zipo?

sasa dogo umeuliza swali upate majibu au umeingia kucompare course mbalimbali na upatikanaji wa kazi zake maana naona unabishana tu humu, and i think tatizo sio kitu unachopenda kusomea angalia soko lake na ujira wake, kuna course utaangaika hata mwaka kupata ajira ila ukishakamata njia ndo kimoja bt ka unapenda kuonekana kwenye tv hayaaaaa ....okey by the way sio engeener ni engineering
 
thanx alot..ntasoma hii kitu coz ,niko talented na hizo field

huko talented na hiyo course!!!!!!!, we sema tu TCU wamechagua kusoma hiyo course bila wewe kuipendekeza: cha msingi acha woga komaa nayo. Tanzania hii kila kitu kinawezekana privided huwe na Bachelor au Advanced diploma.
 
acheni kumpotosha mwenzxenu.
1. unakuwa afisa mahusiano wa Industry-sehemu unayofanyia kazi.
2. ajira kwenye makampuni ya matangazo
3. kufanya kazi kwenye vituo vya redio, tv na magazeti
4. na anything related to social science, unaweza ukaaply na ukacompete

huyu ndiye aliyeelewa swali langu,wengine wanadakia tu
 
mi nakushauri piga hiyo digrii yako ukimaliza utajua utoke vip, ila jambo la muhimu ni kumtegemea mungu! huwez jua jua kama kampun inaajiri mtu 1 basi utaajiriwa ww, Inawezekana watu wote wakakimbia hii fildi kwa woga wa ajira ukajikuta upo peke yako na kazi kedekede.

wewe ni mwanaume mwenye msimamo na jasiri
 
unakua kama jackson m'mbando wa airtel?...yeye ni public realtion manager wao..ila uwe na confidence yakutosha na communication skills za kutosha...sio unakua ka yule dada wa tanesco anaeshindwa kusema mgao unaisha lini
 
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.

afisa uhusiano,customer care,fund raising officer,customer service,resource mobilization
 
Man mi naona unaweza kufanya mambo mengi sana na hiyo kozi. Akili kumkichwa bana, tunaishi kwenye information age now. What counts is your personal value, jielimishe haswaaaa....
 
Back
Top Bottom