LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Huyu mzee kwa kipindi kirefu amekuwa akiteseka sana kutokana na makosa yake yeye mwenyewe ambayo aliwahi kuyafanya huko nyuma, mzee amekuwa akihitaji msaada wa Diamond kila kukicha bila mafanikio kwani Diamond ni kama ameziba masikio vile.
Tukija kwa watoto wa huyu mzee sio Diamond pekee kwani ana mtoto mwingine wa kike ambaye ni Queen Darleen, Queen nayeye si haba kwani pale WCB anapata fedha tu, lakini huyu binti na yeye ni kama kasimama upande wa kaka yake kama hawamuoni baba yao
Lakini hakukuwahi kuwa na habari kuwa Quuen hakulelewa na baba yake, ila ni Diamond tu ndio hakupata msaada wa baba yake kipindi bado mdogo, Ningemuona Queen ni wa maana kama yeye angekuwa wa kwanza kwenda kumsaidia baba yake kitu ambacho Diamond roho ingemuuma na yeye angesaidia kimya kimya, ingesaidia huyu mzee kuacha kuzunguka mitandanoni kitu ambacho kinawadhalilisha wote.
Queen ndio mtu muhin na mwenye uwezo wa kumshauri kaka yake bila kujali lolote lililowahi kutokea huko nyuma, kuliko Diamond kwenda kugawa misaada kama sadaka yake, ni heri angemsaidia huyu mzee alafu angemuachia mungu akamhukumu huko mwenyewe, huyu mzee akija kufa mambo yanaweza yakabadilika. Uzii huu mtakuja kuufukua siku za usoni... Mark my words.....
Sent using Jamii Forums mobile app