Hivi Queen Darleen na yeye ana bifu na baba yake au ndio mtoto wa kike hasara?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Huyu mzee kwa kipindi kirefu amekuwa akiteseka sana kutokana na makosa yake yeye mwenyewe ambayo aliwahi kuyafanya huko nyuma, mzee amekuwa akihitaji msaada wa Diamond kila kukicha bila mafanikio kwani Diamond ni kama ameziba masikio vile.

Tukija kwa watoto wa huyu mzee sio Diamond pekee kwani ana mtoto mwingine wa kike ambaye ni Queen Darleen, Queen nayeye si haba kwani pale WCB anapata fedha tu, lakini huyu binti na yeye ni kama kasimama upande wa kaka yake kama hawamuoni baba yao

Lakini hakukuwahi kuwa na habari kuwa Quuen hakulelewa na baba yake, ila ni Diamond tu ndio hakupata msaada wa baba yake kipindi bado mdogo, Ningemuona Queen ni wa maana kama yeye angekuwa wa kwanza kwenda kumsaidia baba yake kitu ambacho Diamond roho ingemuuma na yeye angesaidia kimya kimya, ingesaidia huyu mzee kuacha kuzunguka mitandanoni kitu ambacho kinawadhalilisha wote.

Queen ndio mtu muhin na mwenye uwezo wa kumshauri kaka yake bila kujali lolote lililowahi kutokea huko nyuma, kuliko Diamond kwenda kugawa misaada kama sadaka yake, ni heri angemsaidia huyu mzee alafu angemuachia mungu akamhukumu huko mwenyewe, huyu mzee akija kufa mambo yanaweza yakabadilika. Uzii huu mtakuja kuufukua siku za usoni... Mark my words.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Mondi,huyu alimtukana mzee mitusi mikubwa mpaka Shilawadu wa imute,
 
Maisha ni mafupi sana huyo diamond na huyo Queen waendelee kuziba masikio ila siku wasiyoijua huyu Mzee ataenda kujipumzikia hao shilawadu watafunga safari kwenda kuchukua mavideo wakiwa kaburini kwa baba yao wakiomba msamaha,mzazi hakosei hata akufanyie nini huyo ni baba/mama yako na ladhi zao ni mhm tuwaache ipo siku tutafufua Uzi huu kwa kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma
What goes around comes around
Utakachokipanda ndicho utakachovuna

Sent using Jamii Forums mobile app
kaka hii itakuwa ni kama mtango kwani hata diamond pia atafanyiwa na mwanawe nadhani ni wakati wa kukaa na kumaliza tofauti zao kwani baba daima hakosei kwa mwana, iliyobaki ni dunia tu kuiendekeza na iko siku tutaiacha tukiwa dhalili kabisa.
 
Nae si umajua anategemea mgongo wa kaka yake kupata riziki sasa akimsaidia baba yake kaka Na mama Mkubwa watamaind!
 
Huyo hana hela ya kumpandisha ndege, yeye anataka Diamond ampost Instagram kama anavyofanya kwa mama yake.
 
Mkuu ukienda kumchukua mzee umempeleke kwenye matibabu sidhani kama atakataa..

Hapa mnazidi kusanyana wambea tu ...haisaidii kitu.
 
Back
Top Bottom