Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mwanaume haongei maneno mengi , maneno mengi ni ke.
Kuna hoja gani ulioshinda hapo , hoja za matusi , kweeli ujinga mzigo, kuna vijora vinauzwa mtaani nadhani vitakufaa.ujinga ujinga mwingi, kha viongozi wetu wanakazi kuongoza watu wenye vichwa kama hivi du !Kumbe mtu akikushinda hoja tayari anakua mwanamke?
Its funny some humans assign sex gender to other humans!
Una power kubwa sana ya ku-assign gender to other humans aisee!
Are you some powerful God or Ghost or something like that?
Kuna hoja gani ulioshinda hapo , hoja za matusi , kweeli ujinga mzigo, kuna vijora vinauzwa mtaani nadhani vitakufaa.ujinga ujinga mwingi, kha viongozi wetu wanakazi kuongoza watu wenye vichwa kama hivi du !
Wewe si ndio umesema umeshinda kwa kutukana matusi kama hayawani, akupangie nani wewe hay*wani, hayawani anapangiwa na nani ? Si hua anajamba tu hovyo bila utaratibu.Nimeshinda!
Weww ni nani unipangie kama nimeshinda au sijashinda!?
Wewe jisemee mwenyewe!
Jinga wewe unaeongea na jinga!
Utakua jinga kubwa zaidi!
Wewe si ndio umesema umeshinda kwa kutukana matusi kama hayawani, akupangie nani wewe hay*wani, hayawani anapangiwa na nani ? Si hua anajamba tu hovyo bila utaratibu.
Unamkasirikiaje haya*wani , kwa mfano?Nimekutukana!
Kama umekasirika sana jump over the ocean!
Unamkasirikiaje haya*wani , kwa mfano?
Aisee, kumbe nimemkasirikia Haya*wani?Thats exactly what’chu doin’ here!
Ni "kweli kweli" siyo KWERI KWERIZinasumbua wengi "kweri kweri"
Siyo jf tu, mpaka "ikuru magogoni"
Umetoka wapi kijana simeone, yesu wa nazareth anakuhitaji.Ni "kweli kweli" siyo KWERI KWERI
Ni Mazoea ya watu tu, HALAFU CHA AJABU UTAKUTA MSOMI MZIMA ANACHANGANYA HIZI HERUFI
Siku hizi ukikuta mtu ameandika "ana... " kuwa makini pengine anamaanisha "hana... " hizo R na L zinahitaji tu umakini wa mtu maana wengi wasiomakini wanachapiaga hizo herufi
haki nimecheka sana, duh haya, hivi huyu ana digrii nne kama mwakyembe?
Makabila mengi Mkoani wa Mara hayana L; kila kitu ni R tu. Wengi hudhani ni wakuria tu ila ukweli ni kuwa makabila karibu yote ya mkoa huo hayana R kabisa. Sauti ya R ni nuksi kwaoracso kaunda, ]
Tatizo hili sio hapa jf tu. Yaani Waandishi na watangazaji karibu wote kwenye TV za mitandaoni wana tatizo hili R na L
Bora hata kiswahili mkuu, kuliko wakichapia kiingereza.Habari Wanandugu,
Katika kitu ambacho huwa kinanishangaza katika nyakati hizi ni maandishi na matamshi ya baadhi ya herufi na silabi. Huwa najiuliza kuwa Watanzania tunakwama wapi kwenye herufi "R" na "L" kuanzia kuyaandika mpaka kutamka?
Miaka ya nyuma kulikuwa na kichaka cha kujificha kuwa kuna Makabila ambayo hayana herufi "R" kwenye lugha zao za nyumbani, hasa mikoa ya kusini (Lindi & Mtwara).
Lakini siku hizi siyo kushindwa kutamka bali yanabadilishwa kabisa. Utakuta mtu na elimu yake anakuandikia "RAKINI" badala ya "LAKINI", Eti " KALILI" badala "KARIRI", kuna muda unamsikiliza mtu mpaka unashindwa kumwelewa kama anaongea kiswahili au anatumia lugha nyingine.
Tena kuna hawa Wachungaji na Manabii ukiwaskia wakiongea ndiyo wanazikazia " L" badala ya "R". Halafu hapo bado haujahamia kwenye vyombo vya habari.
Sasa cha ajabu siwani wakiwa wanabadili matumizi ya R na L wakiwa wanazungumza Kiingereza. Kwa hiyo huu ugonjwa ni ulimbukeni uliotujaa au ni wa makusudi?
MAONI KUTOKA KWA WADAU