Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?
Bora hajaja...Kaona uzushi tu! Yeye ana uhakika na anasutwa moyoni mwake kwamba hastahili kumwenzi mwalimu, maana anajua aliingiaje madarakani.At least dhamira hiyo inatosha. Compare him with the Dictators waliojaza mitumbo yao hapo huku wanawaibia wanainchi! Aibu tupu!
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?
katika watu wavivu duniani huyu ni na moja......kuna mbunge mmoja wa viti maalumu kutoka upinzania ambaye ni mtu wa karibu wa huyu bwana aliniambia......kuna sku walikuwa kwenye hafla za kiserikali na Mh...alikuwa akihutubia jamaa alikuwa akilalama kwa nini mkuu hamalizi ili waondeke...lol
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Wewe utakuwa mdini!!!!!!!!!!What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Mkubwa labda hamfahamu kuwa Kikwete na Karume hawaivi. Karume alikuwa karibu na Mkapa sasa kwakikwete ananyimwa dili ndio maana ananuna.
Sasa hivi wanamsubiri aondoke awekwe wanayemtaka wao. Ndio maana siku hizi anachota pensheni zake kuanzia BOT, hadi Ardhi. Kiufupi jamaa anajijua hatakiwi ndio maana hajali whether akitokea au la (na sio uvivu). Jamaa anachota vya mwishomwisho