Hivi Rais Karume Ana Aleji na Sherehe Zihusuzo JMT?

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,972
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?
 
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?

Bora hajaja...Kaona uzushi tu! Yeye ana uhakika na anasutwa moyoni mwake kwamba hastahili kumwenzi mwalimu, maana anajua aliingiaje madarakani.At least dhamira hiyo inatosha. Compare him with the Dictators waliojaza mitumbo yao hapo huku wanawaibia wanainchi! Aibu tupu!
 
katika watu wavivu duniani huyu ni na moja......kuna mbunge mmoja wa viti maalumu kutoka upinzania ambaye ni mtu wa karibu wa huyu bwana aliniambia......kuna sku walikuwa kwenye hafla za kiserikali na Mh...alikuwa akihutubia jamaa alikuwa akilalama kwa nini mkuu hamalizi ili waondeke...lol
 
Kwa maoni yako ni wazi kuwa sherehe hizo hazikustahiki kuwepo kwani wengi wa waliohudhuria wana qualities ulizozitaja.
 
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?

Nafikiri Karume anastahiki pongezi kwa kuwa muwazi juu ya maoni yake kuhusu mtiririko wa kudanganyana hapa Tanzania. Kwa mfano tunapokumbuka Mwalimu na huku hatufuati wala kuamini misigi aliyoiweka na huku tukitumia kifo chake kwa manufaa yetu binafsi, tunakuwa waongo.
 
katika watu wavivu duniani huyu ni na moja......kuna mbunge mmoja wa viti maalumu kutoka upinzania ambaye ni mtu wa karibu wa huyu bwana aliniambia......kuna sku walikuwa kwenye hafla za kiserikali na Mh...alikuwa akihutubia jamaa alikuwa akilalama kwa nini mkuu hamalizi ili waondeke...lol

Karume anajua anachofanya na si mnafiki.toka alipoona sanaaa za JK na mambo yake ya serikali ya pamoja na CUF kwenye kikao chao hapo hapo Butiama ameamua kufanya mambo kwa vitendo .i like this man
 
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
 
Mkubwa labda hamfahamu kuwa Kikwete na Karume hawaivi. Karume alikuwa karibu na Mkapa sasa kwakikwete ananyimwa dili ndio maana ananuna.

Sasa hivi wanamsubiri aondoke awekwe wanayemtaka wao. Ndio maana siku hizi anachota pensheni zake kuanzia BOT, hadi Ardhi. Kiufupi jamaa anajijua hatakiwi ndio maana hajali whether akitokea au la (na sio uvivu). Jamaa anachota vya mwishomwisho
 
Chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki zisikufumbe macho ukashindwa kuona miundombinu ya viwanda, mashirika ya umma, huduma bure (elimu, afya, nk) zilizofanywa na mwl Nyerere! Amekaa Ikulu muda mrefu lakini hakufisadi fedha za umma! Hakuwaita mafisadi toka nje kuja kukwapua madini yetu na kutuachia mashimo! Alisema kwamba madini hayaozi, tuyaache mpaka hapo tutakapokuwa na uwezo wa kuyachimba! Hakuyaacha mafisadi yampande mgongoni kama yanavyomfanyia Kikwete sasa hivi (nashangaa akina vijisenti mpaka sasa hivi wanafanya nini NEC ya CCM)! Hakuwaacha wanaofanya ufisadi eti "wapumzike" baada ya kufisadi Ikulu ambayo aliwahi kusema ni mahali patakatifu! Aliwaunganisha watz mpaka wakajiona kama ndugu wa tumbo moja! Etc, etc, etc!
 
Namsifu sana karume. hakika umeonyesha ukomavu. Jamani lazima tujue Nyerere hakuwa Mungu wa Tanzania. Mbona kumbukumbu za Karume hazifanywi kwa ghalama hivyo.

Watanzania mna matatizo mengi sana sasa ni lazima kuyajadili na kuangalia namna ya kuyatatua na sio kufanya kumbukumbu za watu.

Chukulia pesa zilizotumika kuwakimu vija waliotembea kutoka Mwanza mpaka Butiama ( posho na maandalizi yao yote) mngeweza kuwapelekea watu wanapata njaa.

nakushukuru Karume kuonyesha ukomavu kwa hilo
 
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?

Pilipili zilizo shamba zawawashia nini? Waacheni wafu wazike wafu wao.
 
licha simuungi mkono KARUME ina nahisi ni kiongozi wa kuigwa mara nyingi huwa anapenda kuwa karibu na wananchi wake, labda kuwe na shughuri ambayo haitakiwi muwakilishi ndio anakwenda na hilo ni jambo zuri kwA viongozi sio kila jambo unataka kuonekana wewe upo kimbele mbele kama JK, nampongeza Karume kwa kuwaamini watu alio wateua kama VUAI na wengineo
 
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"

Hapo umechemka mkuu JKN kaifanyia hii nchi mambo mengi ambayo hakuna anayefuata hata kwa robo. Baada ya kukabidhi jamaa wameharibu kila kitu. WACHA WIVU SIFA YAKE MPE.

Wacha chuki zako kwa wakatoliki kama walikuudhi au mambo wanayowasaidia watz wewe unayaona ni mabaya basi wewe sijui mtu gani. ACHA HIZO KUBALI MATOKEO
 
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Wewe utakuwa mdini!!!!!!!!!!
 
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"

Boko Haram
 
Huyu mkuu hapendi unafiki ndio maana anakaa mbali na hayo ili asije ambukizwa!!
 
Mkubwa labda hamfahamu kuwa Kikwete na Karume hawaivi. Karume alikuwa karibu na Mkapa sasa kwakikwete ananyimwa dili ndio maana ananuna.

Sasa hivi wanamsubiri aondoke awekwe wanayemtaka wao. Ndio maana siku hizi anachota pensheni zake kuanzia BOT, hadi Ardhi. Kiufupi jamaa anajijua hatakiwi ndio maana hajali whether akitokea au la (na sio uvivu). Jamaa anachota vya mwishomwisho

Wacha Bwana! Tangu lini Karume akawa na uhusiano mzuri na Mkapa na kama si Karume Kikwete angekuwa madarakani. Ukweli ni kuwa uhuru wa Karume unaingiliwa na hilo halipendi na anaonyesha kwa vitendo.
 
Si alikuwapo huko huko hivi karibuni tu au unataka kuashiria kitu gani tena...na hata kama kafanya makusudi kutohudhuria kwani kuna nini la maana...upuuzi tu!
 
Back
Top Bottom