Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Wakuu title inajieleza yenyewe. Nilikuwa nategemea Rais Karume wa Zanzibar angekuwepo kwenye Sherehe za Miaka Kumi ya maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa mwl JK Nyerere na kuzima mwenge wa uhuru, 2009, kama niko wrong nisahihisheni. Hii ni mara nyingine tena huyu bwana haonekani, kwenye tukio la kitaifa kama hii au la kichama kama alivyofanya kwenye sherehe za muungano, mei mosi na kwenye kikao cha chama kilichomweka kitimoto spika 6! Kulikoni mwana wa Karume?